Sunday, April 14, 2013

ESTER BULAYA AZINDUA MICHUANO YA 'ESTHER CUP

Esther Bulaya akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa michuano ya 'Esther Cup'.
Wanahabari wakimsikiliza mbunge Esther Bulaya.…

Esther Bulaya akihojiwa na mwanahabari kutoka ITV, Amri Massare.
MBUNGE wa Viti Maalum CCM, Esther Bulaya, jana alizindua rasmi michuano ya 'Esther Cup' itakayofanyaika katika wilaya ya Bunda mkoani Mara hivi karibuni. Bulaya alizindua michuano hiyo kwa wanahabari jana katika hafla fupi iliyofanyika katika hoteli ya The Atriums iliyopo Afrika Sana jijini Dar es Salaam.

0 comments: