Sunday, April 14, 2013

EXTRA BONGO WAFANYA MAKAMUZI MEEDA CLUB

Ali Choki (kulia) pamoja na wanenguaji wake wakilishambulia jukwaa la Meeda Club.
Wanenguaji wa Extra Bongo wakizidi kuwapa raha mashabiki waliohudhuria shoo hiyo usiku wa kuamkia leo.…
Ali Choki (kulia) pamoja na wanenguaji wake wakilishambulia jukwaa la Meeda Club.
Wanenguaji wa Extra Bongo wakizidi kuwapa raha mashabiki waliohudhuria shoo hiyo usiku wa kuamkia leo.
Ali Choki (kulia) akiwa katika pozi na Benny Kinyaiya.
Burudani zikiwa zimepamba moto.
Wanenguaji wa Extra Bongo wakipozi baada ya kazi.
BENDI ya Extra Bongo 'Wazee wa Kizigo' chini ya kiongozi wao Ali Choki 'Mzee wa Farasi' usiku wa kuamkia leo wamefanya makamuzi ya hatari katika ukumbi wa Meeda uliopo Sinza, jijini Dar es Salaam.

0 comments: