Home »
» WANAFUNZI WA VYUO VIKUU 13 WASHIRIKI KWENYE WARSHA YA MAANDALIZI YA AJIRA PINDI WAMALIZAPO MASOMO YAO
Rais
wa chama cha wanafunzi wa vyuo vikuu(AIESEC)Bw.Frank Mushi,akiongea
katika warsha ya 14 inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi
wanapomaliza masomo ya vyuo vikuuwarsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom
Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es
Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu 13 walioshiriki katika warsha ya 14
inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo
yao ya vyuo vikuu,warsha hiyo…
Baadhi
ya wanafunzi wa vyuo vikuu 13 walioshiriki katika warsha ya 14
inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo
yao ya vyuo vikuu,warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na
kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Ofisa raslimali watu wa Vodacom Tanzania,Bw.Stephen Kisanko,akiongea na
waandishi wa habari juu ya udhamini wa warsha ya 14 inayohamasisha
vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo yao ya vyuo
vikuu warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika
ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko wa chama cha wanafunzi wa vyuo
vikuu(AISEC)Bw.Elvis Kashaija,akiongea na waandishi wa habari juu ya
maandalizi na umuhimu wa vijana kushiriki katika warsha ya 14
inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo
yao ya vyuo vikuu warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na
kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam. ![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sUEqeZe2umXlPihtpkedQBAKpW8_yVOJxIeidYr87h2NrWWAZ27W83VfqXhk5JJ6kSOMowJXx3uEIVAC2UVGokfdX5W0v-OtA8oOQy07shc7_eML84XVPOBvt-3395976EMcbc8vEz0UgkKwK2_CUQSbsgZnXcHfZYzhIKAgDl86k1hNAbo_uJCZHnc86Cqm_WHojfWyz3sjqcxVq7fdeJ1Vm8PJdqwESR1H-ILROyYmsDgbPOh9En=s0-d)
Ofisa
raslimali watu wa Vodacom Tanzania,Bw.Stephen Kisanko,akitoa mada kwa
wanafunzi juu ya maandalizi na umuhimu wa vijana kujiandaa katika
kuingia kwenye ajira pindi wamalizapo masomo yao ya vyuo vikuu,wakati wa
warsha ya 14 inayohamasisha vijana kujianda katika ajira warsha hiyo
ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania .iliyofanyika katika ukumbi wa
Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Ofisa raslimali watu wa Vodacom Tanzania,Bw.Stephen Kisanko,akisikiliza
maswali mbalimbali kutoka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu 13 waliohudhuria
katika warsha ya maandalizi na umuhimu wa vijana kujiandaa katika
kuingia kwenye ajira pindi wamalizapo masomo yao ya vyuo vikuu, warsha
hiyo ya 14 kufanyika hapa nchini ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania,na
kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu 13 walioshiriki katika warsha ya 14
inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo
yao ya vyuo vikuu,warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na
kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment