Ikiwa bado ngoma yake "Dear Gambe" bado inafanya vizuri kaika chati
mbali mbali, leo hii Young Killer, msanii anae wakilisha Mwanza,
amedondosha boooonge moja la pini ikiwa ni kolabo na Stamina na Quick
Racka akiwa ameshikilia chorus, mkono wa producer D classic na Mona
Gangsta.
0 comments:
Post a Comment