Timu ya Bongo Fleva imeibuka kidedea kwa kuichapa Bongo Muvi mabao
3-2 katika mchezo wao wa leo kwenye Tamasha la Matumaini 2013. Mpaka
filimbi ya mwisho inapulizwa mabao yalikuwa 1-1 ndipo zikaamriwa penalti
na Bongo Fleva kuibuka kifua mbele kwa penalti 2-1.
Sunday, July 7, 2013
Home »
» BONGO FLEVA WAICHAPA BONGO MUVI KWA PENALTI 2-1
0 comments:
Post a Comment