Stori: IMELDA MTEMA
DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameinua kinywa chake na kudai
kwamba kuna baadhi ya wabunge wamekuwa wakimtongoza kwa nia ya kupata
penzi kwake, Amani linasimulia aliyoyasema.
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_u0pTqns-lAMmBFMu_mI3eMZo6uXWxq32Viyq55t31b7RjPqbImIMNW7YbkRxA880euNEDDuhgT9gboWpikElnKPmN5hRucFrfU6mzAXZ-G8oqaUWJ4iloE7pdS9M2VPcWB9c4avXAaeA=s0-d)
Akizungumza na mwandishi wa habari hii juzi jijini Dar, Aunt alisema
waheshimiwa hao wanajua tayari yeye ameshaolewa lakini wamekuwa wakimpa
usumbufu mkubwa na kutoa ahadi balimbali, ndogo na kubwa kitendo ambacho
anaamini kinaweza kuhatarisha ndoa yake.…
Stori: IMELDA MTEMA
DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameinua kinywa chake na kudai
kwamba kuna baadhi ya wabunge wamekuwa wakimtongoza kwa nia ya kupata
penzi kwake, Amani linasimulia aliyoyasema.
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_u0pTqns-lAMmBFMu_mI3eMZo6uXWxq32Viyq55t31b7RjPqbImIMNW7YbkRxA880euNEDDuhgT9gboWpikElnKPmN5hRucFrfU6mzAXZ-G8oqaUWJ4iloE7pdS9M2VPcWB9c4avXAaeA=s0-d)
Akizungumza
na mwandishi wa habari hii juzi jijini Dar, Aunt alisema waheshimiwa
hao wanajua tayari yeye ameshaolewa lakini wamekuwa wakimpa usumbufu
mkubwa na kutoa ahadi balimbali, ndogo na kubwa kitendo ambacho anaamini
kinaweza kuhatarisha ndoa yake.
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_sUl43Zw6_Rq14xMDMIe9JMK76WMkoxWx9BC8AgE4HKaejaY0CgJPh9IgQwPeUcqzvyc-D-6z4gWvqOBUzqLbN6BsSsyQ97Rx9hb-zJ1Pqi--1B60Kffw57YR2N4XrS20m_w7_YEPOJms67Y0HXOtJT1ioAlKT1z8iPfxJGWcXjA-6hfcXYD7HeEIyfQ5kCV68Q1e4NJNSGKG1pd5_KYAHkrl5YU2bpKGNwuu0ROpZ24CXrBB9E94z6cg=s0-d)
“Mimi
nawashangaa sana baadhi ya waheshimiwa, wanajua tayari nimeolewa lakini
wananitongoza, mimi siwezi,” alisema Aunt bila kuwataja majina wazito
hao Akaongeza: “Mume wangu akisikia napata usumbufu kutoka kwa watu
wazito, hawezi kuwa na amani, bado naipenda ndoa yangu na kuachana na
Sunday wangu ni ndoto.”
Mwishoni mwa mwaka jana, Aunt alifunga ndoa na mfanyabiashara Sunday Dimonte, Dubai na mpaka sasa wanaishi kama mke na mume
0 comments:
Post a Comment