MSANII wa filamu za kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ hivi karibuni
aligeuka kituko baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa
kijamii.
Picha hiyo ambayo Recho amevaa shati tupu (inayoonesha
ndani) bila kuvaa kitu kingine chochote, aliitupia kwenye mtandao wa
kijamii wa Instagram ambapo mashabiki na marafiki zake walichangia huku
wakimlaumu kuwa hakufanya vizuri kuiweka picha hiyo ya aibu mtandaoni.
Paparazi wetu alimuuliza Recho kulikoni? Akajibu…
Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu za kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ hivi karibuni
aligeuka kituko baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa
kijamii.
Picha hiyo ambayo Recho amevaa shati tupu (inayoonesha
ndani) bila kuvaa kitu kingine chochote, aliitupia kwenye mtandao wa
kijamii wa Instagram ambapo mashabiki na marafiki zake walichangia huku
wakimlaumu kuwa hakufanya vizuri kuiweka picha hiyo ya aibu mtandaoni.
Paparazi wetu alimuuliza Recho kulikoni? Akajibu hivi:
“Nawapenda sana marafiki zangu lakini mimi sijaona tatizo la hii picha kwa sababu ni ya kawaida sana sioni ubaya wake.”
0 comments:
Post a Comment