www.zacott.blogspot.com
Home
Business
Internet
Market
Stock
Downloads
Dvd
Games
Software
Office
Parent Category
Child Category 1
Sub Child Category 1
Sub Child Category 2
Sub Child Category 3
Child Category 2
Child Category 3
Child Category 4
Featured
Health
Childcare
Doctors
Uncategorized
Saturday, September 28, 2013
Home
» » MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AZURU NEBRASKA NCHINI MAREKANI
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AZURU NEBRASKA NCHINI MAREKANI
By
Unknown
8:23 AM
No comments
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na Founder, Benefactor and Chief Executive Officer wa Taasisi ya Opportunity Education Bwana Joe Ricketts kwenye uwanja wa ndege katika mji wa Omaha uliopo katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani tarehe 27.9.2013
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa binti Kate Stephens, 7, mara baada ya Mama Salma kutua kwenye uwanja wa ndege wa Omaha huko Nebraska nchiniMarekani tarehe 27.9.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akionyeshwa na Bwana James Ricketts, President and Chief Operations Officer, wa Taasisi ya Oppoturnity Education shughuli mbalimbali za kununua na kusafirisha vifaa vya elimu kwenda kwenye shule katika nchi mbalimbali hapa duniani ikiwamo Tanzania wakati Mama Salma alipotembelea Taasisi hiyo yenye Makao Makuu yake huko Omaha katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani tarehe 27.9..2013.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya ngao kutoka kwa Bwana Joe Ricketts, Founder, Benefactor and Chief Executive Officer wa Taasisi ya Opportunity Education iliyoko huko Omaha nchini Marekani. Bwana Ricketts alitoa zawadi hiyo kwa kutambua mchango mkubwa sana alioufanya Mama Salma binafsi na Taasisi yake ya WAMA Foundation katika masuala ya elimu. Afya na uwezeshaji kwa akina mama..
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na uongozi wa juu wa Taasisi ya Opportunies Education kwenye ofisi za taasisi hiyo huko Omaha Nebraska nchini Marekani tarehe 27.9.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa kwenye Mji Mkuu wa Jimbo la Nebraska, Lincoln, huko Marekani na Dr. Natalie Hahn, Mwanzilishi wa Malaika Foundation na Senior Private Adviser for the United Nations Fund for International Partnership (UNFIP) tarehe 27.9.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Dr. Marjorie Kastelnik, Dean, College of Education and Human Sciences kwenye Chuo Kikuu cha Nebraska ambapo Mama Salma alishiriki kwenye Gala to support Global Education kwenye Chuo Kikuu cha Lincoln huko Nebraska tarehe 27.9.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mke wa Bwana Joe Ricketts kwenye gala to support Global Education .
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia waalikwa waliohudhuria Gala to support Global Education iliyoandaliwa kwa ajili ya kumtunuku tuzo maalum Bwana Joe Ricketts kwa juhudi zake za kuboresha elimu duniani hasa katika nchi zinazoendelea.
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
← Newer Post
Older Post →
Home
0 comments:
Post a Comment
Social Profiles
Popular
Tags
Blog Archives
(no title)
ZAIDI YA ABIRIA 50 WA BSI LA SUMRY LITOKALO SUMBAWANGA KUJA MBEYA LIMEPATA AJALI MAENEO YA SONGWE MPAKANI MWA WILAYA YA MBOZI CHANZO CHA A...
AIBU: MKE WA MTU ANASWA LIVE AKIFANYA MAPENZI NDANI YA GARI MAENEO YA MWENGE-DAR
KUFUATIA vitendo vya usaliti wa ndoa, uasherati, ufuska na ukiukwaji wa maadili ya Kitanzania kwa wanandoa, wiki iliyopita Ijumaa ili...
PICHA YA MTOTO WA SHAKIRA KWA FANS WAKE .....
This is cute!!!! Shakira and her husband Gerald Pique welcomed a baby boy some weeks ago and they named him Milan Pique! ...
Mshuhudie Shilole akiwa ndani ya vazi la Kanga moja kitandani….
STAA wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameamua kuachia picha adimu akiwa kitandani na kanga moja tu bila chochote kam...
Mashabiki wa Ujerumani na Argentina Copacabana beach Rio de Janeiro July 13 2014
Mashabiki wa Argentina wakihojiwa na kituo cha TV cha Brazil ambacho kilikua kinarusha live matangazo yake kutokea hapa. Karibu kweny...
WAFANYA BIASHARA WAVUNA MAHELA VODACOM
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingw(kulia) akiongea na Mshindi kwenye simu ya mezani wakati wa Droo ya kuwapata w...
LULU: KANUMBA ALIKUWA ZAIDI YA MPENZI, MUME
Na Musa Mateja KWA mara ya kwanza tangu atoke mahabusu ya Gereza la Segerea, Dar kwa dhamana, staa wa filamu na video za wasanii wa Bongo ...
(no title)
ANGETILE :TUTAKAA KUJADIRI NINI TUFANYE KUZINGATIA FIFA INATAKA NINI ? Katibu mkuu wa tff angetile osiah amaesema tff ...
SHOW YA MIAKA 13 YA KIKOSI CHA MIZINGA JANA VIWANJA VYA MSASANI CLUB DAR
Mashabiki wakiwa mzukaa mbaya Chidi Benz akifanaya yake Ilikuwa aibu Babu… Mashabiki wakiwa mzukaa mbaya Chidi Benz akifanay...
Man City yailemea Chelsea
Wachezaji wa Manchester City Mabingwa watetezi wa kombe hilo Manchester City wameandikisha ushindi mkubwa dhidi ya mabingwa wa ulaya C...
Blog Archive
►
2015
(1)
►
July
(1)
►
Jul 21
(1)
►
2014
(58)
►
October
(3)
►
Oct 09
(3)
►
July
(9)
►
Jul 24
(2)
►
Jul 23
(1)
►
Jul 15
(1)
►
Jul 14
(5)
►
June
(3)
►
Jun 19
(1)
►
Jun 13
(1)
►
Jun 11
(1)
►
March
(9)
►
Mar 29
(7)
►
Mar 02
(2)
►
February
(31)
►
Feb 28
(7)
►
Feb 26
(3)
►
Feb 25
(5)
►
Feb 21
(2)
►
Feb 11
(3)
►
Feb 06
(9)
►
Feb 05
(2)
►
January
(3)
►
Jan 17
(1)
►
Jan 16
(2)
▼
2013
(379)
►
December
(5)
►
Dec 28
(1)
►
Dec 07
(4)
▼
September
(29)
▼
Sep 28
(7)
Rais Kikwete ahutubia Umoja wa Mataifa New York
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AZURU NEBRASKA NCHI...
MBUNGE MSIGWA AMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA MKAKATI W...
Ulimboka, Costa na Pawasa wachambua uchezaji Simba
RECHO ATUPIA NUSU UTUPU
MAADHIMISHO YA MIAKA 18 YA KITUO CHA SHERIA NA HAK...
SEMINA YA KAMATA FURSA TWENDZETU KWA VIJANA INAVYO...
►
Sep 24
(4)
►
Sep 14
(5)
►
Sep 13
(7)
►
Sep 11
(6)
►
August
(9)
►
Aug 29
(2)
►
Aug 12
(7)
►
July
(53)
►
Jul 31
(6)
►
Jul 26
(6)
►
Jul 23
(1)
►
Jul 17
(5)
►
Jul 15
(1)
►
Jul 14
(7)
►
Jul 11
(7)
►
Jul 09
(4)
►
Jul 08
(1)
►
Jul 07
(7)
►
Jul 06
(8)
►
June
(37)
►
Jun 24
(4)
►
Jun 23
(5)
►
Jun 22
(6)
►
Jun 19
(2)
►
Jun 18
(4)
►
Jun 11
(5)
►
Jun 04
(1)
►
Jun 02
(4)
►
Jun 01
(6)
►
May
(45)
►
May 29
(5)
►
May 28
(5)
►
May 25
(6)
►
May 21
(4)
►
May 18
(5)
►
May 14
(8)
►
May 11
(9)
►
May 02
(3)
►
April
(100)
►
Apr 30
(6)
►
Apr 27
(5)
►
Apr 25
(4)
►
Apr 24
(3)
►
Apr 22
(10)
►
Apr 21
(5)
►
Apr 20
(7)
►
Apr 18
(5)
►
Apr 17
(6)
►
Apr 16
(8)
►
Apr 15
(2)
►
Apr 14
(7)
►
Apr 13
(3)
►
Apr 12
(6)
►
Apr 08
(7)
►
Apr 05
(3)
►
Apr 04
(2)
►
Apr 03
(7)
►
Apr 02
(4)
►
March
(81)
►
Mar 30
(4)
►
Mar 29
(8)
►
Mar 28
(5)
►
Mar 27
(2)
►
Mar 26
(4)
►
Mar 25
(7)
►
Mar 23
(6)
►
Mar 22
(4)
►
Mar 20
(12)
►
Mar 12
(8)
►
Mar 07
(6)
►
Mar 05
(6)
►
Mar 04
(3)
►
Mar 03
(4)
►
Mar 02
(2)
►
February
(20)
►
Feb 28
(3)
►
Feb 27
(5)
►
Feb 25
(8)
►
Feb 23
(4)
Recent Posts
Definition List
Sample Text
Unordered List
Download
0 comments:
Post a Comment