Naibu
Waziri wa Madini, Mh. Stephen Masele akizungumza mada iliyohusu fursa
mbalimbali zinazopatikana kwenye nishati na madini ndani ya semina ya
kamata fursa twendzetu,iliyofanyika mapema leo ndani ya ukumbi wa Gold
Crest.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjl-RQAwY3iYiysS2JGSYihS3k4P-MgsrbXKSVvyXt97WG4QyBJutLLCFeNVVQoU1boWZVsZ0-wAUfrTST0UsaHEeQp_niRPMKOoijLml0cq9Qc05PYBmKshrhW_VV2G8eV404MT0amVu7B/s640/IMG_7425.jpg)

Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele akimtambulisha mmiliki wa hotel kubwa ya kitalii hapa jijini…
Mkuu
wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Mh.Yahaya Nawanda akizungumzia mada
yake iliyohusu suala la ufugaji,hasa kuku wilayani mwake,ambapo pia
amewataka vijana kuitumia fursa ya ufugaji wa aina yoyote katika suala
zima la kujiletea maendeleo kwa namna moja ama nyingine badala ya
kusubiri Serikali iwafanyie ama iwaletee kila kitu hapo walipo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggrKVWzobJ1Ks73m_ix0pwkv63ZqMx5t0CkuG1yZzOm8vvkJZSAwT4MDSIStKHr65zEFKvZzTO6P_cRLQlhOH3Czv6-ObTJp7Gp4_Gd13ueRjajussbxhyWRWrKyg5cAQr8lv1CDpkpv8C/s640/IMG_7484.jpg)

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh. Januari Makamba
akizungumza kwenye mada yake iliyohusu masuala mbalimbali, kuhusiana na
Fursa ya kuongeza thamani na kutengeneza jina, sambamba na fursa ya
matumizi ya Teknolojia mbele ya maelfu ya vijana waliojitokeza kwa wingi
mapema leo kwenye semina ya kamata fursa twendzzetu,iliyofanyika
leo,ndani ya ukumbi Gold Crest, jijini Mwanza.
Sehemu
ya wakazi wa mji wa Mwanza waliojitokeza kwa wingi mapema leo kwenye
semina ya kamata fursa twendzetu,wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri
ukumbini humo,ambapo mada mbalimbali zilikuwa zikizungumzwa.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Maxcom inayouza bidhaa yake ijulikanayo kama Max
Malipo, Bw. Juma Rajab akizungumzia kuhusiana na fursa ya bidhaa yake
ya Max Malipo inavyoweza kuisadia jamii kwa namna moja ama nyingine.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhiQX0oIrqxAQNKYogehlC-7wu-6KCWGG6PQScmhoQOVeOGeeuvUST00c0dHHDymAaZ3fZSKXv7k6NB3zQbiwoGQBbqr-tNZEZDDw-_2bzFKc3L6QBVg0kru4Tm5XYQkH3mfbtPYaNIv2tp/s640/6.jpg)

Mmoja
wa waigizaji mahiri wa filamu hapa nchini Elizabeth Michael "Lulu"
akiwasili kwenye semina ya kamata fursa Twendzetu,ndani ya ukumbi Gold
Crest, jijini Mwanza asubuhi hii,ambapo pia atazungumzia mambo kadhaa
mbalimbali kwenye semina hiyo, ambayo itawakutanisha Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh. Januari Makamba, Mbunge wa jimbo
la Kigoma Kaskazini na watoa mada wengine mbalimbali.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSdAdE14vP9lJNujHQf6iAl5gb9g3ier79B3PkLvBNn7wYfH9qiGyH1z4ZKNeJCXnPBU5taQrImbM5MTqQN3dos-6vywi894-yhNs-QF8fHIoYR6-DElqOCdNH6b2rqaguOvXG7cFLajxL/s640/1.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB), Bi. Magreth Chacha alipokuwa akiwasili kwenye semina ya kamata fursa Twendzetu, ndani ya ukumbi Gold Crest, jijini Mwanza asubuhi hii.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPI5z2bdlQKhP9YFgpoUlmgeDi5Pl3iTm6IWkX7n5ou6BBxoAIpdBEk_y5IHsaZI2JnTfuO5DwUZF2aE8xyyLqJMsIj62-bi1y08gFaPDUyYvdfdrY-q8LLy3DhO4JKG6gcq-FaFwIemo5/s640/4.jpg)
Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia, Mh. Januari Makamba akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele (mwenye miwani) akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB),Bi.Magreth Chacha walipokuwa wakiwasili kwenye semina ya kamata fursa Twendzetu, ndani ya ukumbi Gold Crest, jijini Mwanza asubuhi hii,pichani kati ni Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group, Bw. Ruge Mutahaba.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjO1o6EsHOh5HQ17yFk7tHFkIXgiZLE_1KxffLKa6Vg6JAsqu6mO8kDGgXxlPJ1_8HpFeR5dxDi-bCxHPkB5xYvH0EZXnVX1IRoxjr7drV595CE_BAerGQQmbpbPXuINc3D8dJtmvJHz-WY/s1600/4.jpg?width=650)
Baadhi ya Wakazi wa mji wa Mwanza na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye semina ya kamata fursa Twendzetu, ndani ya ukumbi Gold Crest, jijini Mwanza asubuhi hii.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhrGw89eRUBJWg8di-31-Z6PP_NUI5xGhPyheml7mzKZ7YRlwJ2EUSEimmur2E33XPOC8SmpiYi0wHL7XWZicojfCC79_QTrkSth9dd6MXdxMZeWIcWUDuIvwxhbvBzFJPN1vgnY0cUgUTv/s640/3.jpg)

Sehemu ya meza kuu.
0 comments:
Post a Comment