Sandra
alifunguka hayo kupitia Stori 3 ambapo alisema taarifa hizo ndizo
zilimpa hata mkosi kwani zilipoanza kuvuma ndiyo kipindi ambacho alipata
ajali ya gari. “Sijawahi kuachwa, mimi pamoja na familia yangu
tunafurahia maisha ya ndoa. Hao walioeneza hizo taarifa, walikuwa na
lengo la kuniharibia na hawajaweza,” alisema Sandra.
0 comments:
Post a Comment