Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji Prince David, mtoto wa aliyekuwa askari wa Usalama
Barabarani, marehemu WP Elikizaeli Lokisa Nnko, aliyefariki dunia kwa
kugongwa na gari na dereva ambaye hadi sasa hajajulikana wakati akiwa
katika majukumu yake ya kikazi eneo la Bamaga Mwenge jijini Dar es
Salaam jana. Picha na OMR
Picha ya Marehemu enzi za uhai wake.
0 comments:
Post a Comment