Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Utalii Tanzania TTB Balozi Charles Sanga
katikati wa tatu kutoka kulia, Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania
Dk. Aloyce Nzuki kushoto na Zaida Enver Mkurugenzi Mtendaji wa Witch
& Wizard Creative (PYT) Ltd wakisaini mkataba wa makubaliano ya
kuanzisha onesha la Utalii litakalojulikana kwa jina la Swahili Tourism
Fair kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, ambalo kwa mara
ya kwanza litafanyika nchini Tanzania kwenye ukumbi huohuo wa Mlimani
City Dar es salaam kuanzia Oktoba 2-5 mwaka huu, Wanaoshuhudia tendo
hilo la kusainiwa kwa mkataba huo nyuma ni Mh. Thanduyise Hery Chiliza
Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania na kulia ni Ian Kaduma
Mwanasheria wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Kampuni ya Witch & Wizard
Creative (PYT) Ltd Pia ndiyo inayoandaa maonyesho makubwa ya utalii
nchini Afrika Kusini yanayojulikana kama Indaba
Guido Ceruti Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Witch& Wizard Creative (PYT) Ltd akisaini mkataba huo huku Mh Thanduyise Hery Chiliza Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania akishuhudia tukio hilo kushoto ni Ian Kaduma Mwanasheria wa TTB

0 comments:
Post a Comment