Home »
 » msd yawalipua wanaolinda wabadhirifu 
 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifwani akielezea kuhusu utendaji wa
 bohari hiyo pamoja na changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo, 
zikiwemo za vyombo vya dola kuwafumbia macho baadhi ya wafanyabiashara 
wanaouza dawa za serikali kiholela pamoja na wanaokamatwa kwa kutorosha 
dawa hizo nje ya nchi.
        
                        
        
        
        
            
 Taasisi zilizomwagiwa lawama hizo ni 
baadhi ya maofisa kutoka vyombo vya dola, serikalini na wafanyabiashara.
 Mwaifwani alidokeza hayo wakati wa Kongamano la Nane la Mfuko wa Taifa 
wa Bima ya Afya (NHIF) la kujadili tafiti z\ilizofanywa na wanahabari kuhusu matumizi ya fedha zinazochangwa na wananchi kwa ajli ya masuala ya afya katika halmashauri
 
 
0 comments:
Post a Comment