Wednesday, February 27, 2013
Home »
» WAFANYA BIASHARA WAVUNA MAHELA VODACOM
WAFANYA BIASHARA WAVUNA MAHELA VODACOM
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingw(kulia) akiongea na Mshindi kwenye simu ya mezani wakati wa Droo ya kuwapata washindi wa shilingi Milioni 5 na Milioni moja katika Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo,ambapo wafanyabiashara ndogondogo wa Kagera na Dar es Salaam Bw.Rashid Kagombora na Adam Ramadhan wamejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.wanaoshuhudia kushoto kulia ni Matina Nkurlu Meneja Uhusiano,Benjamin Michael Maneja wa Huduma za Ziada na Afisa Mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania Bi.Chiku Salehe,Mteja anatakiwa kutuma neno"MAHELA"kwenda namba 15544 na kuweza kujishindia.Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu (kulia)akionesha moja ya namba ya simu ya mshindi wa Promosheni ya"MAHELA"aliejishindia kitita cha shilingi Milioni 5 ambapo wafanyabiashara ndogondogo wa Kagera na Dar es Salaam Bw.Rashid Kagombora na Adam Ramadhan wamejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5 kila mmoja katika promosheni hiyo inayoendelea kuchezeshwa na Vodacom Tanzania,katikati ni Maneja wa Huduma za ziada wa Vodacom Bw.Benjamin Michael,anaefatia ni Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Bi.Chiku Salehe. Mteja anatakiwa kutuma neno"MAHELA"kwenda namba 15544 na kuweza kujishindia.zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.
Related Posts:
HIVI NDIVYO VYAKULA 10 AMBAVYO MWANAUME ANATAKIWA KULA ILI KUONGEZA UWEZO WAKATI WA TENDO LA NDOA. CHAZA NA PWEZA Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayoyanatajwa kusaidia uzalisha wa vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa. POMEGRANATE Ni … Read More
TRENI YA MIZIGO YAPATA AJALI ENEO LA GULWE WILAYA YA MPWAPWA Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya… Read More
Magazetini leo Jumapili March 02 2014 … Read More
VIBAKA WACHOMWA MOTO BAADA YA KUTUMIWA KUIBA COMPUTER..!! Watu wawili ambao hawajafahamika majina yao wameuwawa kwa kuchomwa moto na wananchi wanaozaniwa kuwa na hasira kali katika kijiji cha Kagongwa wilayani Kahama Mkoani Shinyanga baada ya kudaiwa… Read More
RAIS JAKAYA KIKWETE AMESEMA NITAVUNJA BUNGE LA KATIBA NA KUENDELEA NA KATIBA YA ZAMANI KAMA WAJUMBE AWATAACHA FUJO RAIS Jakaya Kikwete amesema kama mchakato wa upatikanaji Katiba Mpya utakwama kwa namna yoyote, Katiba iliyopo sasa itafanyiwa marekebisho na kuendelea kutumika. Alisema kama Kiongozi Mkuu wa Serik… Read More
0 comments:
Post a Comment