Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa juu wa Jeshi la Kujenga
Taifa (JKT) jijini Dar es salaam alipotembelea leo February 27, 2013.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha,
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange pia walihudhuria.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya saa toka kwa Mkuu wa Jeshi la
Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael Muhuga huku Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Vuai Shamsi Nahodha, Mkuu wa
Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange wakishuhudia. Saa hiyo imeandaliwa
na makamanda wa JKT kumpongeza Rais Kikwete kwa kurejesha mafunzo ya
jeshi la ulinzi kwa mujibu wa sheria kuanzia mwaka huu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na kada mbalimbali za
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) alipotembelea leo February 27, 2013.
Wednesday, February 27, 2013
Home »
» RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JKT JIJINI DAR ES SALAAM LEO
0 comments:
Post a Comment