Father Evalist Mushi enzi za uhai wake
Mtu
anaesadikiwa kuwa ndie muuaji wa aliyekuwa Padre Evalist Mushi wa
kanisa katoliki, visiwani zanzibar, amekamatwa leo alasili maeneo ya
kariakoo, zanzibar.
Jeshi la polisi limethibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo, na kwenda nae kituo cha polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Padri
Mushi aliuwawa kwa kupigwa risasi mwezi uliopitwa wakati akiwa kwenye
gari lake kuelekea kanisani kwenye ibada ya jumapili.
0 comments:
Post a Comment