Taarifa
zilizotufikia ni kwamba jengo lenye ghorofa 16 lililokuwa bado
linaendelea kujengwa katika makutano ya barabara ya Indira Gandhi na
Morogoro jirani na Burhani limeanguka. Inasemekana katika jengo hilo
kulikuwa na watu takribani 60 ambao wanahofia kupoteza maisha. Taarifa
kamili zitawajia hivi punde.
0 comments:
Post a Comment