Mwenyekiti
wa SARPCCO IGP Said Mwema akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wakurugenzi wa Makosa ya Jinai kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)
baada ya kufungua mkutano wao wa siku mbili jijini Dar es Salaam.Mkutano
huo utajadili mambo mbalimbali yanayohusu uhalifu unaovuka mipaka
pamoja na kufanya Operesheni za pamoja baina ya Nchi wanachama wa umoja
huo.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Mwenyekiti
wa SARPCCO IGP Said Mwema akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wakurugenzi wa Makosa ya Jinai kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)
pamoja na wajumbe wa Kamati tendaji za Mafunzo, Sheria na wanawake
baada ya kufungua mkutano wao wa siku mbili jijini Dar es Salaam.Mkutano
huo utajadili mambo mbalimbali yanayohusu uhalifu unaovuka mipaka
pamoja na kufanya Operesheni za pamoja baina ya Nchi wanachama wa umoja
huo.(Picha na Frank Geofray-Jeshi laPolisi)

Kaimu DCI, Naibu Kamishna wa Polisi Issaya Mngulu akiongea katika mkutano wa wakurugenzi wa Makosa ya Jinai kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC).Mkutano huo wa siku mbili utajadili mambo mbalimbali yanayohusu uhalifu unaovuka mipaka pamoja na kufanya Operesheni za pamoja baina ya Nchi wanachama wa umoja huo.
Mwenyekiti
wa SARPCCO IGP Said Mwema akiongea na waandishi wa habari (Hawapo
pichani) wakati wa mkutano wa Wakurugenzi wa Makosa ya Jinai kutoka Nchi
za Kusini mwa Afrika (SADC) baada ya wakati wa mkutano wa kufungua
mkutano wao wa siku mbili jijini Dar es Salaam.kushoto ni DCI wa Afrika
kusini Vinesh Moonoo na Mkuu wa INTERPOL Harare Chilika Simfukwe.(Picha
na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)

0 comments:
Post a Comment