
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Habari maelezo Fakihi Haji Mbarouk akitoa hotuba
ya makaribisho kwa waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa
kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria namba 5 ya mwaka 1985 hapo
katika ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa kutoa
mapendekezo ya marekebisho ya sheria namba 5 ya mwaka 1985 hapo katika
ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar.
Afisa
wa Habari kutoka Idara ya Habari Maelezo zanzibar Faki Mjaka akitoa
ufafanuzi wa baadhi ya mambo katika Mkutano wa kutoa mapendekezo ya
marekebisho ya sheria namba 5 ya mwaka 1985 hapo katika ukumbi wa Hoteli
ya Bwawani Zanzibar.kulia ni mwandishi kutoka Redio adhana Said
Suleiman.
Mwandishi wa Habari wa Idara ya habari Maelezo zanzibar Miza Kona Ngwali akitoa maoni kuhusu marekebisho ya sheria namba 5 ya mwaka 1985 hapo katika ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Zanzibar.






0 comments:
Post a Comment