Na Mwandishi WetuBONGE la Bwana, Jacob Steve ‘JB’ amewataka Watanzania kuwa na wivu wa kimaendeleo ili kuweza kufika mbali kisanaa kwa kuiga mazuri.
JB
alifunguka hayo muda mfupi baada ya kutua Bongo akitokea nchini Rwanda
walipokwenda kushuhudia Tuzo za Filamu zilizokuwa zikigawiwa kwa wasanii
wa nchini humo.“Kuhusu zile tuzo inabidi na sisi tujifunze kuthamini vitu vya kwetu, wadau inabidi walitazame kwani kwa hatua ambayo sisi tumefikia, ilipaswa tuwe na tuzo nyingi kuliko hata Rwanda ambao ndiyo kwanza wanainuka kwenye soko la filamu,” alisema JB.






0 comments:
Post a Comment