This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
Tuesday, June 4, 2013
Sunday, June 2, 2013
AIRTEL RISING STARS 2013 YAIVA
Akizungumza wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars 2013 iliyofanyika Juni mosi katika ukumbi wa mikutano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Ofisa Maendeleo wa shirikisho hilo Bw. Salum Madadi alisema ARS ngazi ya mikoa imepangwa kuanza Juni 15 hadi 29.
Mikoa inayoshiriki Airtel Rising Stars mwaka huu kwa upande wa wavulana ni mikoa ya kisoka ya Ilala, Kinondoni na Temeke. Mikoa mingine ni Morogoro Mwanza na Mbeya ambapo kila mkoa unatakiwa kushirikisha timu sita. Usajili wa timu umepangwa kuanza rasmi kesho Juni 2 na kumalizika Juni 11.
Kwa upande wa timu za wasichana, alisema, mikoa itakayoshiriki ni Tanga, Kigoma na Ruvuma na mikoa yote inayoshiriki Airtel Rising Stars mwaka huu iliwakilishwa kwenye semina elekezi na makatibu wakuu ambao walipata fursa ya kupitia kanuni na taratibu za michuano hiyo ya vijana.
Upangaji wa ratiba uliofanyika leo ni wa fainali za taifa pekee kwa kuwa mashindano ya ngazi ya mkoa yataendeshwa na uongozi wa mkoa husika ikiwa ni pamoja na kupanga ratiba yake.
Kwa upande wa wasichana timu zitakazofungua dimba katika fainali za taifa ni Ilala na Kinondoni. Kwa ujumla timu 12 zitashiriki fainali za Taifa, sita za wasichana na sita za wavulana.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo, Meneja wa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mbando alitoa rai kwa makatibu wakuu wa mikoa kuwa makini wakati wa usajili ili kupata vijana wenye vipaji ambao wataiwakilisha vema Tanzania kwenye michuanoa ya kimataifa ya Airtel Rising Stars. Vile vile Tanzania itawakilishwa kwenye klini itakayofanyika chini ya makocha wa Manchester United.
Alisisitiza alisema nia thabiti ya Airtel Tanzania kuendelea kusaidia mashindano ya vijana kwa nia ya kuendeleza soka nchini na kuishukuru TFF na wizara inayohusika na michezo kwa kuyaunga mkono mashindano haya.
Naye mgeni rasmi katika semina hiyo , Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Msafiri Kondo aliwaomba wadhamini kuendelea kudhamini michuano hiyo ili vijana wa kike na kiume waweze kufikia malengo yao katika soka.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, Suleiman Hassan Suleiman, amesema kuwa, merehemu hao walifikwa na mauti wakiwa katika kazi ya kuteremsha ukuta wa mnara wa tanki la maji ambao walikuwa wameshaukata.
Kamanda alisema kuwa idadi ya mafundi waliokuwepo kazini hapo walikuwa ni 12 ambapo watatu wamepoteza maisha papo hapo na watatu kujeruhiwa na kulazwa katika hospitali ya Chake Chake na wengine sita walikimbia na jeshi la polisi liko katika utaratibu wa kuwatafuta kwa ajili ya kuelewa hali zao.
Kamanda Suleiman aliwataja marehemu hao kuwa ni Juma Rashid Juma (35) mkazi wa Chanjaani, Suleiman Mohammed Abdiadi 'maarufu kama Golo' (55) mkazi wa Kwale na Salum Muhidini Vuai 'Bandudu' (35) mkazi wa Madungu wote wakazi wa wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba.
Na majeruhi katika ajali hiyo ni pamoja na Jackson John (26) mzaliwa wa Iringa na mkazi wa Msingini, Ali Saleh Ali (35) mkazi wa Michakaeni na Yohana Richard (25) mkazi wa Machomanne Chake Chake Pemba.
(Habari/Picha: Abdi Sueliman na Bakari Mussa, Pemba)
MIRAJI KIKWETE ATOA FULANI KWA AJILI YA MSIBA WA MSANII MANGWEHA
KIBAKA ACHOMWA MOTO HUKO MBAGALA BAADA YA KUIBA BEGI NA SIMU.....
Tukio hili limetokea maeneo ya mbagala charambe mida ya saa sita mchana baada ya kibaka huyu kuingia ndani ya nyumba ya mtu na kuiba begi...
Taarifa zinaeleza kwamba, raia mwema ambaye ni mkazi wa nyumba hiyo alisahau kufunga mlango na kwenda kwa jirani...Alipotoka tu, Kibaka huyo alizama ndani na kuchukua begi la nguo taratiiibu kama lake!
Hakuridhika na begi, alivyotazama pembeni aliona kuna simu .Bila kupoteza muda, kibaka huyo aliihifadhi mfukoni ..
Balaa liliazanza wakati anajiandaa kutoka...Alipofika mlangoni, kibaka huyo alikutana na mwenye nyumba uso kwa uso.....!!!
SINEMA ILIANZIA HAPO!!!!! Watu mwiziii... mwiziiii mwiziiiiiiiiiii....!!!!!
Raia wenye hasira kali hawakumuona wakapita, Kufika mbele kidogo walikata tamaa. Wakati wanarudi nyumbani kwao mara ghafla jamaa akakurupuka na kuchomoka kwenye dirisha la lile jengo bovu alikokuwa amejificha....
MPENDWA msomaji, mambo yalienda kama tunavyoona hapo pichani.

Saturday, June 1, 2013
REDD'S MISS TABATA 2013 APATIKANA
Miss Tabata Dolizi Moleo (Katikati) Upendo Lemana mshindi wa tatu Rechoul Musa.
Katika kunogesha burudani Bendi ya muziki wa dansi ya African Star Twanga Pepeta ilitumbuiza kabla na baada ya shindano hilo kumalizika.
PICHA: ISSA MNALLY
KIGORI YAZINDULIWA SUNSIRO
Warembo hao wanatarajia kuungana na wenzao ambao wanatarajiwa kufanyiwa usahili hivi karibuni katika mikoa ya Tanga na Morogoro.