Miss Tabata Dolizi Moleo (Katikati) Upendo Lemana mshindi wa tatu Rechoul Musa.
Miss Tabata Dolizi Moleo (Katikati) Upendo Lemana mshindi wa tatu Rechoul Musa.
Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania Prashent Pater (Kushoto) akiongea na Hoice Temu ambae alishawahi kuwa Miss Tanzania.
Jana usiku katika ukumbi wa Da’ west uliopo Tabata jijini Dar es
salaam kinyanganyilo cha kumtafuta Mrembo wa kitongoji hicho kilifanyika
na mshiriki Dolizi Moleo aliibuka kidedea kwakuwapiku washiriki wenzake
16 kwa kuwa Redds Miss Tabata 2013,Katika kunogesha burudani Bendi ya muziki wa dansi ya African Star Twanga Pepeta ilitumbuiza kabla na baada ya shindano hilo kumalizika.
PICHA: ISSA MNALLY
0 comments:
Post a Comment