Mashabiki wa Argentina wakihojiwa na kituo cha TV cha Brazil ambacho kilikua kinarusha live matangazo yake kutokea hapa.
Kutokana na ukaribu wa Brazil na Argentina, siku mbili kabla ya fainali mashabiki wa timu ya taifa ya Argentina walianza kumiminika kwa wingi kwenye jiji la Rio de Janeiro kulikochezwa fainali ya kombe la dunia ambapo timu yao ilikipiga na timu ya taifa ta Ujerumani.
Shangwe zilikua kubwa sana kwenye mitaa mingi huku Waargentina wakichukua headlines na hata kwenye fukwe hii wao ndio walionekana wengi na wanaimba kila wakati, mashabiki wa Ujerumani ambayo ndio mshindi baada ya kupata goli kwenye Extra Time walikua wa kuhesabu mmojammoja.
0 comments:
Post a Comment