Home »
» Zitto Kabwe: TaifaStars ninyi ndio tumaini letu kubwa
![Zitto-Kabwe-akikokota-mpira1 23190](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_uNNgXiHuJTuIpB5JLuOazdo7AVTMEAz9hMjJ5X5j_raKuSF1NoHtmZGlZG575eJxSrW5I6_EOa8HHqvnX329b_7toLVmkn8I_7ePPUWz7YmcaG7IsjDzoAs5ez5SuJiocbvesS1Ae5kxRNICxByw=s0-d)
TaifaStars
ninyi ndio tumaini letu kubwa wakati huu nchi yetu imejaa changamoto
nyingi na kukata tamaa. Wakati Umoja wa Taifa upo mashakani, ninyi
mnatufanya tuvae na kupeperusha Bendera yetu nzuri ya Taifa. Dakika
tisini uwanjani Tanzania inakuwa moja, ushindi hutupa fahari kubwa na
kusahau vyama vyetu, Dini zetu, madaraja ya Maisha nk. Ingieni uwanjani
Kwa ufahari mkubwa. Tupeni raha #TaifaStars #TZBrazil2014
Nimezungumza
kwa simu na nahodha wa Timu ya Taifa, #TaifaStars Tanzania one
@JumaKaseja . Morale ya Vijana wetu ipo juu sana. Wanaomba mjae uwanjani
na kuwashangilia Kwa Nguvu. Kila Mtu ashike Bendera ya Taifa au Rangi
za Bendera ya Taifa. Mliopo Dar msituangushe, uwanja wa Taifa ujae
pomoni. #Nyumbani tushinde. Ushindi Ni lazima. Go stars Go
0 comments:
Post a Comment