Mambo ya Analogia+Digitali , Picha ni mtaa wa Mwembetogwa mkoani Iringa
Inyeshe isinyeshe ulanzi utaletwa tu mjini Iringa
Matunda Kwa afya:--Pichani ni mjasiriamali na mteja wa matunda eneo la miyomboni mkoani Iringa
PICHA NA SAID NG’AMILO IRINGA.
Inyeshe isinyeshe ulanzi utaletwa tu mjini Iringa kama uonavyo mpanda baiskeli akirejea kwao Tanangozi kijijini kishauza nimoja ya ujasiliamali.
0 comments:
Post a Comment