Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell
Thorning-Shmidt katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya kinyago cha ‘Shetani, Waziri
Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt wakati wa dhifa ya kitaifa
aliyomwandalia Ikulu jana usiku
Waziri
Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt akifurahia zawadi ya kinyago
cha ‘Shetani’ alichopewa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete
jana usiku Ikulu
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell
Thorning-Shmidt wakiangalia ngoma za utamaduni za kundi la JKT katika
dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu jana usiku
0 comments:
Post a Comment