Monday, March 25, 2013
Home »
» KAULI YA RAIS KIKWETE KUHUSU UCHAWI KWENYE SOKA LA TANZANIA
KAULI YA RAIS KIKWETE KUHUSU UCHAWI KWENYE SOKA LA TANZANIA
Moja kati ya kauli ambazo zimeingia kwenye headlines za michezo kwa wiki iliyokwisha ni kauli ya President Jakaya Kikwete, kauli kuhusu ushirikina kwenye soka la bongo aliyoitoa wakati akizindua uwanja mpya wa club ya soka ya Azam Chamazi Dar es salaam.
Namkariri akisema “najua mtapata tabu sana mkiwaleta hapa watasema kiwanja hiki kina namna, yote ni ushirikina tu…. ni wale ambao hawataki kuwekeza kwenye maendeleo ya mchezo, wanataka kuwekeza kwenye mambo ya kipuuzi… we tangu lini uchawi ukacheza mpira? ingekua uchawi unacheza mpira Afrika ingekua ina kombe la dunia na hatunyang’anywi, nyie hamjajua kwamba jambo hili la kipuuzi? mnawekeza pesa nyingi kwenye kamati ya ufundi hakuna chochote, haiwafikishi kokote”
Rais aliongeza kwa kusema “wekeza kwa kocha mzuri, vifaa vizuri, mafunzo mazuri, wachezaji walale mahali pazuri, Uwanja wa Azam Complex ni mzuri na wa kisasa, kuna sehemu ya mazoezi, vijana wanalala sehemu nzuri… ndio maana naamini nyinyi hakuna sababu ya kutofanikiwa"
Related Posts:
AIBU: MKE WA MTU ANASWA LIVE AKIFANYA MAPENZI NDANI YA GARI MAENEO YA MWENGE-DAR KUFUATIA vitendo vya usaliti wa ndoa, uasherati, ufuska na ukiukwaji wa maadili ya Kitanzania kwa wanandoa, wiki iliyopita Ijumaa iliendelea na Operesheni Fichua Maovu kwa kuzunguka jijini Dar usiku wa manane na kuna… Read More
REEBOK WAMTOSA RICK ROSS KUTOKANA NA MASHAIRI YAKE YANAYOSIFIA UBAKAJI Baada ya wiki kadhaa za ukosoaji na maandamano, kampuni ya Reebok imesitisha kufanya kazi na Rick Ross kutokana na mashairi yake yenye kashfa ya kusifia vitendo vya ubakaji. Wimbo wa Rick Ross unaodaiwa kuwa na m… Read More
MAKALI YA NAULI KUANZA KUFANYAKAZI Hizi nauli zilivyopanda kwa mamlaka ya wenyemaamuzi hivi hawa Nduguzangu wa ishio mwambao wa ziwa Nyasa itakuwaje?Waungwana naomba mawazoyenu pamojanakuwa halihiyo inatukumba sote lakini kwa hali yakimaisha tunatofautia… Read More
Shilingi bilioni 620 za Deni la Taifa hazina maelezo TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Shilingi bilioni 620 za Deni la Taifa hazina maelezo… TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Shilingi bilioni 620 za Deni la Taifa hazina maelezo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serik… Read More
MAMA SHARO AANZA KUKOMALIA HAKI ZA MWANAYE Na Gladness Mallya MAMA mzazi wa aliyekuwa msanii wa muziki na filamu Bongo, marehemu Hussein Ramadhan Mkieti ‘Sharo Milionea’, Bi. Zainabu Mkieti amefunguka kuwa kwa sasa anaanza kufuatilia haki za mwanaye kwenye kampuni… Read More
0 comments:
Post a Comment