Na Mwandishi Maalum
Hali
katika eneo la Mashariki ya Kongo inaelezwa kwamba ni tete na ya hatari
kiasi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa kuibuka mgogoro mkubwa yoyote.Onyo
hilo limetolewa siku ya Ijumaa na Bw. Roger Meece ambaye ni Mwakilishi
Maalum wa Katibu Mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati
alipokuwa akitoa taarifa kwa Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa
Bw. Roger Meece amelitoa toa onyo hilo, wakati Katibu Mkuu wa UN, Ban Ki
Moon pamoja na baadhi ya viongozi wa Afrika wanatarajiwa Februari 24
jumapili hii, kusaini Jijini Addis Abba Ethiopia, Mpango Mpya wa Amani,
Usalama na Ushirikiano nchini DRC.
“Kwa
ujumla hali ni tete mkubwa bila ya onyo”. Akaliambia Baraza Kuu na
kuongeza . “ Ninatoa wito kwa Baraza hili kutoa kila aina ya msaada na
ushirikiano ili Brigedi mpya itakayoogeza nguvu iweze kupelekwa DRC
mapema iwezekanavyo”. Akielezea zaidi kuhusu hali hatari ilivyo nchini
humo.
Mkuu huyo
wa MONUSCO anasema imefikia katika ukomo wa kutisha. Yakiwamo pia
matatizo ya kibinadamu ambapo inakadiriwa zaidi ya watu 316,000
wameyakimbia makazi yao. Vile vile akaongeza kuwa kuzorota kwa hali ya
usalama katika jimbo hilo kunachangiwa na kuongezeka kwa shughuli za
kundi la wake anayefahamika kama Gedeon, kutoroka anajihusisha na
makundi mengine ya wanamgambo likiwamo la Katangais Kata. Akizungumzia
kundi la M23 ambalo mwaka jana liliteka Goma ambayo ni mji mkuu wa Jimbo
la Kivu kwamba, ingawa kundi hilo linaonyesha kutulia lakini hakuna
ushahidi kuwa limerudisha nyuma vikosi vyake au kubadili mkao wa
kijeshi.
Bw. Rogers Meece ambaye pia ni Mkuu wa
uwa,
mapigano kati ya wapiganaji wa M23 na Jeshi la Kitaifa la DRC ( FARDC)
yamesabisha karibu watu milioni kuyakimbia makazi yao katika eno la Kivu
Kaskazini. bila na ya hatari wakati wowote kunaweza kuzuka mgogoro hali
katika eneo la Kusini- Mashariki ya Jimbo la Katanga Mayi -Mayi hasa
baada ya kiongozi gerezani mwaka 2011 na kwamba MONUSCO, amelieleza
Baraza Kuu Amefafanua zaidi kwa kusema ,
likabailiwa na matatizo makubwa ya rasmali vikiwemo vifaa.Kwa sababu hiyo akasema uamuzi wa
zisizoendeshwa na rubani ( unmanned Aerial System) utasaidia sana katika ukusanyaji
wa taaarifa kwa ajili ya matumizi ya UN,
makosa yasitendeke.
Akasema yeye binafsi
kwamba teknolojia hiyo inatakiwa kupelekwa haraka iwezekanavyo.
Bw. Rogers Meece pia amezungumzia uwezekano wa kuongeza nguvu za kijeshi au
Brigedi pamoja na kuongeza mamlaka zaidi zaidi ya utekelezaji na wajibu
amani nje ya utaratribu wa jadi wa kulinda amani wa UN.
Akasema, ni imani yake kwamba uongezaji wa nguvu ya ziada ardhini ni muhimu sana
ili kufikia malengo yanayokusudiwa na amelitaka Baraza Kuu la Usalama kuidhinisha
matumizi ya nguvu.
Jeshi la kutuliza amani lililoko hivi sasa katika DRC
kutumia
teknolojia ya kisasa ya ndege
kuiongezea uwezo MONUSCO na kuzuia
analishukuru
Baraza hilo kwa kuridhia pendekezo hilo na
wa kulinda
0 comments:
Post a Comment