ANGETILE :TUTAKAA KUJADIRI NINI TUFANYE KUZINGATIA FIFA INATAKA NINI ?
Katibu mkuu wa tff angetile osiah
amaesema tff itakutana ili kujadiri maamuzi ya serikali kuifuta kwani wao wanaendesha mpira
kikatiba kwani wao wanaongoza mpira unaongozwa na fifa, caf ,cecafa, na sio serikali na
katiba tff inasema kuwa inatakiwa kufuata maagizo ya kutoka fifa
amesema wao watakaa chini na kulitazama na nini wataamua .
NANI ATAKUWA SAHIHI FIFA,TFF,BMT,AU SERIKALI ,NI BAADA SERIKALI KUFUITA KATIBA MPYA YA TFF
WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI NA
MICHEZO FENELLA MUKANGARA.
Waziri
wa habari vijana utamaduni na michezo Fenella Mukangara amefuta
matumizi ya katiba mpya ya TFF ya mwaka 2012 kwa vile imekiuka kanuni na
sheria za BMT hivyo TFF wanatakiwa kutukia katiba ya mwaka 2006 ambayo
imetumika katika mikoa kufanyia uchaguzi.
Mukangara
amesema TFF inatakiwa kufuata kanuni nasheria za BMT ambazo ambazo
ndizo zenye maelekezo ya kufanya marekebisho ya katiba .
Hakuna
chama chochote hapa nchini kilicho juu ya BMT yaani baraza la michezo
nchini ,hivyo TFF wanatakiwa kufanya mkutano mkuu kwa kutumia katiba ya
mwaka 2006 na FIFA wanatakiwa kuelezwa mambo yalivyo pindi watakapokuwa
hapa.
Pia
waziri amesema anamuondoa kazi msajili aliyepitisha katiba ya TFF kwani
hajafuata kanunu na sheria na kumuweka mwingi pamoja na kuhamisha ofisi
ya msajili
0 comments:
Post a Comment