HAPA NI WAREMBO TU .... LAKELAND AFRICA WADHAMINI UTALII WA NDANI , MISS UTALII TANZANIA 2012/13
Washiriki wa Miss Utalii tanzania wakiwa katika moja
ya Makaburi ya zamani Kaole Bagamoyo.
Mshiriki wa Miss Utalii Tanzania Pamoja na washiriki
wengine wakikata utepe kwa ajili ya uzinduzi wa safari ya Kitalii
Bagamoyo.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa katika moja ya
Kaburi maarufu la Wapendanao.
Read more »
0 comments:
Post a Comment