This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Saturday, March 29, 2014

AJALI MBAYA: MWANAFUNZI MAKONGO AFARIKI KATIKA AJALI YA BAJAJ NA LORI

Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongo, Priscus Mallya, baada ya kufariki katika ajali ya lori na Bajaj. Mwili wa  Priscus Mallya ukiwa katikati ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi baada ya ajali. Bajaji ambayo mwanafunzi alikuwa amepanda akielekea shuleni Makongo ikiwa eneo la ajali.   MWANAFUNZI wa kidato cha nne, Shule ya Sekondari Makongo, Priscus Mallya, amefariki dunia katika ajali iliyolihusisha lori na Bajaj katika barabara...

AIBU: DENTI WA KIKE MWANACHUO AVULIWA NGUO HOSTEL BAADA YA KUIBA SIMU AINA YA BLACKBERRY

tanamaa zinazidi kuwaponza dada zetu siku hizi, binti mmoja huko nigeria amejikuta matatani baada ya vidume kumsaula nguo zote baada ya kuiba simu ya mwenzake wanaelala nae chumba kimoja, mkasa ulianza pale binti alipotafuta simu yake kwa mda wa masaa matatu bila mafanikio ndipo alipowaita wenzake nakuanza kupekua, atimaye wakapata wazo la kuipiga simu hyo ambayo iliita mfukoni mwa mwizi huyo. alipoambiwa apokee mwizi huyo aliruka mita...

MWALIMU ANASWA LIVE AKIJIUZA MBAGALA DAR...!JIONEE MWENYEWE HAPA

AIBU! Wakati Wakristo bado wapo kwenye Kwaresma, mama aliyejitambulisha kuwa ni mwalimu wa shule ya msingi, amenaswa laivu akijiuza maeneo ya Mbagala-Zakhem jijini Dar.  Mwalimu akiwa ameduwaa baada ya kunaswa kwenye sakata hilo.  Tukio hilo la kusikitisha lilijiri Machi 24, mwaka huu ambapo awali, wakazi wa eneo hilo waliwatonya mapaparazi wa Operesheni Fichua Maovu (OFM) kuwa kuna danguro kubwa maeneo ya Kizuiani ambalo...

HIVI NDIVYO VYAKULA 10 AMBAVYO MWANAUME ANATAKIWA KULA ILI KUONGEZA UWEZO WAKATI WA TENDO LA NDOA.

CHAZA NA PWEZA Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayoyanatajwa kusaidia uzalisha wa vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa. POMEGRANATE Ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofananana na apple. Haya yatajwa kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa. Tatizo ...

RAIS JAKAYA KIKWETE AMESEMA NITAVUNJA BUNGE LA KATIBA NA KUENDELEA NA KATIBA YA ZAMANI KAMA WAJUMBE AWATAACHA FUJO

RAIS Jakaya Kikwete amesema kama mchakato wa upatikanaji Katiba Mpya utakwama kwa namna yoyote, Katiba iliyopo sasa itafanyiwa marekebisho na kuendelea kutumika.   Alisema kama Kiongozi Mkuu wa Serikali ni wajibu wake kuwaeleza ukweli wananchi kama alivyowasilisha hotuba yake kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Mjini Dodoma, kuhusu hatari ya muundo wa Serikali tatu ambayo ndiyo iliyopendekezwa kwenye rasimu.  ...

VIBAKA WACHOMWA MOTO BAADA YA KUTUMIWA KUIBA COMPUTER..!!

Watu wawili ambao hawajafahamika majina yao wameuwawa kwa kuchomwa moto  na wananchi wanaozaniwa kuwa na hasira kali  katika kijiji cha Kagongwa wilayani Kahama  Mkoani Shinyanga baada ya kudaiwa kuiba  vitu mbalimbali ikiwemo Komputa. Tukio hilo limetokea leo  majira ya saa tano asubuhi baada ya watuhumiwa hao kujaribu kuwakimbia viongozi wa Sungusungu waliokuwa wanawashikilia baada ya kuwakamata. Kwa ...

TRENI YA MIZIGO YAPATA AJALI ENEO LA GULWE WILAYA YA MPWAPWA

Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika ajali hiyo watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa na kulazwa katika hospital ya Benjamin Mkapa Wilayani Mpwampwa. Sehemu ya mabehewa ya mafuta na ngano ambayo hayakusombwa na maji katika...

Sunday, March 2, 2014

Magazetini leo Jumapili March 02 2014

...

Matokeo ya mchezo wa Yanga vs Nacional Al Ahly

Klabu bingwa ya Tanzania bara Dar Young Africans leo imefanikiwa kushinda mchezo wa kwanza wa hatua ya raundi ya pili CAF Champions League dhidi ya mabingwa watetezi wa kombe hilo Nacional Al Ahly ya Egypt. Mchezo huo uliopigwa katika dimba la uwanja wa taifa Dar es Salaam uliotawalia kwa kiasi kikubwa na Yanga ambao walipoteza nafasi nyingi katika kipindi cha kwanza na mpaka timu zinaenda mapumziko hakuna timu iliyoweza kuona lango la...