Stars wakiwa vichwa chini baada ya matokeo ya leo.
MATUMAINI ya timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kushiriki
fainali za CHAN nchini Afrika Kusini imefifia baada ya kukubali kipigo
cha bao 1-0 kutoka kwa timu ya taifa ya Uganda 'The Cranes'. Taifa Stars
imelala katika mechi ya kwanza iliyopigwa leo katika Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam. Kwa matokeo hayo, Stars inasubiri mechi ya pili…
0 comments:
Post a Comment