Redd's Miss Kinondoni 2013, Lucy Tomeka (katikati), akiwa kwenye pozi la pamoja na warembo wenzake walioingia kwenye Tatu Bora.
Nafasi ya nne katika kinyang’anyilo hicho ilichukuliwa na Sarah Paul huku Tano Bora ikihitimishwa na Linda Joseph.
Habari/Picha: Musa Mateja/GPL
0 comments:
Post a Comment