Kala Jeremiah amemwelezea Ngwea kama
msanii wa pekee alikuwa 100% mkali wa Free Style na alimpenda kwa nyimbo
kali kama Ghetto langu iliyom inspire kuingia kwenye Game.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhL0rENsLPUg78AOXOmIC3qJ3mgpnNcDzuwA_ZsVYoWaMuOvZOUM7As7ApI8mHKt7XZQuvyk5UXwKjPsBu8Ff9o72WqacXOj8mgSANqQqZ6dijhMNOowOab3QL6awOC11aFSJuUin7WkVfJ/s640/11.JPG) |
Mwana FA amesema ni vitu vingi vya
kukumbuka kutoka kwa Ngwea lakini kikubwa ni uwezo wake wa kuandika na
mashairi yake kutojirudia hadi akatoa mfano kuwa mara nyingi alikuwa
akimwambia Ngwea kwamba ana Range anatembea nalo kichwani lakini Ngwea
alimjibu kuwa si Range moja tu bali mawili anamiliki kichwani kwake so
tunaweza kuona jinsi gani alikuwa mtu muhimu kwenye game. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgR72TLCjhumm2OpLaNiKF_MgJueeH1fw2GBHMhyphenhyphen1O7hs6ejrPgfs2sjDOLJRlTBzlPk3Qj4f6pinYjhytjEqAA1ceAZvBX16mmah35IVmSXwIJwIGTUJgVsKlvuekw74dEIUmW9UVAY_a2/s1600/14.JPG) |
P Funk majani nae amezungumza lakini
alishindwa kutokana na uchungu aliokuwa nao juu ya msiba kwani bado
haamni kama Ngwea hayupo tena. |
Noorah, Mez B na Proffesa Jay
0 comments:
Post a Comment