MAMA wa msanii wa filamu Bongo, Kulwa
Kikumba ‘Dude’, marehemu Mwadodo Ramadhan ‘Bi. Dodo’ leo amezikwa katika
makaburi ya Malapa yaliyopo Buguruni-Malapa jijini Dar ambapo mazishi
hayo yamehudhuriwa na watu kibao wakiwemo wasanii wa filamu, vichekesho
na wa Bongo Fleva. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Amen!
0 comments:
Post a Comment