Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen atakuwa na mkutano na
waandishi wa habari kuzungumzia maandalizi ya tiketi kwa ajili ya mechi
ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Morocco. Mkutano huo utafanyika
keshokutwa (Mei 16 mwaka huu) saa 5 kamili kwenye ukumbi wa mikutano wa
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
Mechi hiyo ya kundi C itachezwa Juni 8 mwaka huu kwenye jiji la Marrakech nchini Morocco. Taifa Stars ilishinda mechi yake iliyopita jijini Dar es Salaa kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Morocco.
Angetile Osiah
Katibu Mkuu
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania…
Angetile Osiah
Katibu Mkuu
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Mechi hiyo ya kundi C
itachezwa Juni 8 mwaka huu kwenye jiji la Marrakech nchini Morocco.
Taifa Stars ilishinda mechi yake iliyopita jijini Dar es Salaa kwa
ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Morocco.Angetile Osiah
Katibu Mkuu
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
0 comments:
Post a Comment