Leo asubuhi tuliweka habari ya mwanadada Flora Bahati Lymo anayedai kubakwa na mbunge.....
Taarifa hiyo ilinukuliwa katika gazeti la Uwazi, toleo la leo tarehe 14 may 2013....Ni taarifa iliyozua utata mkubwa.
Unaweza kuisoma habari hiyo kwa kubofya hapa
Kwa mdomo wake mwenyewe, mwanamke huyo ameamua kufunguka mchana huu na kudai kuwa mbunge huyo ni GODBLESS LEMA.....
Ifuatayo ni kauli yake aliyoitoa katika blog yake..
0 comments:
Post a Comment