This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Wednesday, May 29, 2013

PICHA ZA BAADHI YA WASANII WALIOHUDHULIA KIKAO CHA MSIBA WA MSANII "ALBERT MANGWEA" PALE LEADERS CLUB.

Kala Jeremiah amemwelezea Ngwea kama msanii wa pekee alikuwa 100% mkali wa Free Style na alimpenda kwa nyimbo kali kama Ghetto langu iliyom inspire kuingia kwenye Game. Mwana FA amesema ni vitu vingi vya kukumbuka kutoka kwa Ngwea lakini kikubwa ni uwezo wake wa kuandika na mashairi yake kutojirudia hadi akatoa mfano kuwa mara nyingi alikuwa akimwambia Ngwea kwamba ana Range anatembea nalo kichwani lakini Ngwea alimjibu kuwa si Range moja...

KIFO CHA NGWEA: LADY JAYDEE NAYE ASITISHA SHOW YAKE

Mwanamuziki nguli wa muziki wa kizazi kipya nchini, mwanadada Judith Wambura Maarufu kama Lady Jaydee ametangaza kuahirisha shughuli ya maadhimisho ya miaka 13 tangu aanze muziki iliyokuwa imapangwa kufanyika Ijumaa hii ya Mei 31, 2013 katika mgahawa wake wa Nyumbani Lounge kupisha msiba wa kifo cha msanii Albert Robert Mangweha aliyeripotiwa kufariki nchini Afrika Kusini jana.Judith amesema hayo muda mfupi uliopita (saa 3:52 asubuhi)...

"SITAKI KUSIKIA NYIMBO ZA NGWEA ZIKIPIGWA CLOUDS FM..WAO NDO WALIOMFANYA AANZE KUVUTA BANGI ILI KUONDOA MAWAZO"...P FUNK

Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P Fuck Majani na kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi. ...

HIVI NDIVYO MAMA DUDE ALIVYOZIKWA

Jeneza lililobeba mwili wa marehemu. Mwili ukipelekwa makaburini.… Jeneza lililobeba mwili wa marehemu. Mwili ukipelekwa makaburini.   Dude (aliyesimama) akiwa katikati ya waombolezaji. Umati wa wanaume waliohudhuria kwenye msiba huo ukiwa nyumbani kwa mama Dude, Ilala, Dar.   Wasanii wa filamu, Mzee Chillo na Cloud (waliokaa chini wamevaa baragashia) wakijadiliana jambo.   Kala Jeremiah naye alikuwepo (aliyevaa kofia...

HEE NESII!

Na Waandishi Wetu MUUGUZI wa kike, Violet Shoo, mkazi wa jijini Dar ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi Kituo cha Buguruni, Ilala baada ya kunaswa katika jaribio la kutaka kumchoropoa ujauzito msichana mmoja aliyepandikizwa kama mwanafunzi kwa mtego makini ulioratibiwa na Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’. Violet Shoo (kushoto) akidhibitiwa na polisi baada kunaswa katika jaribio la kutaka kumchoropoa ujauzito 'Denti'. Tukio...

Tuesday, May 28, 2013

"SINA SHAKA NA UMAARUFU WANGU"....LOWASSA

MBUNGE wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amesema hana shaka na umaarufu wake Monduli wala Tanzania kwa ujumla.   Kauli hiyo aliitoa jana wakati akifungua kampeni za udiwani wa Kata ya Makuyuni huku akikishangaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kupeleka mgombea wake katika Kata hiyo. “Eti hawa wanathubutu kujinadi na kujigamba kushinda udiwani Monduli ya Lowassa wakisema watapata kura kwa asilimia...

RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI ADDIS ABABA, ETHIOPIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya walipokutana wakati wa mkutano na sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mh… Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya walipokutana...

AIRTEL YAZINDUA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2013‏

Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa progamu ya Airtel Rising Stars 2013 uliofanyika katika Ofisi za TFF jijini Dar es Salaam leo, wengine ni Mkurugenzi wa Michezo Leonard Thadeo (katikati) na Makamu wa Raisi wa TFF Ramadhani Nasibu. Mkurugenzi wa Michezo Leonard Thadeo...