Friday, June 13, 2014
Home »
» WAZAZI NCHINI WAMETAKIWA KUHAKIKISHA DINI YA KIISLAM INAKUA.
WAZAZI NCHINI WAMETAKIWA KUHAKIKISHA DINI YA KIISLAM INAKUA.
Ushauri huo umetolewa katika mashindano ya kuhifadhi qur-ani na muakilishi wa jimbo kikwajuni MHE,MAHAMOUD MOHAMED MUSSA katika msikiti wa jeshi Jangombe MHE,mahamoud pia amewata Walimu kutovunjika moyo katika kuwa fundisha Wanafunzi wao kwani kufanya hivyo Watapata ujira mkubwa Mbele ya MWENYEZIMUNGU.
0 comments:
Post a Comment