Hatimaye ile ndoa iliyofungwa miezi michache iliyopita kati ya Super
Star wa TAKEU Bongo Fleva H. Baba na mwigizaji maarufu nchini wa Bongo
Movie mwanamama Flora Mvungi imejibu kwa wawili hao kupata mtoto wa
kike.
Kwa mujibu wa Mwanamuziki huyo anayetoka familia ya 'MWANZA KWANZA', Leshontek H. Baba anasema kuwa anaendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mkewe kujifungua salama mtoto wa kike ambaye tayari kesha mpa jina la Tanzanite, akijivunia kuwa Mtanzania na kuzitukuza rasilimali zake zilizopo.

WAKUTWA
CHOONI WAKILAWITIANA...BOSI AJITETEA ALIKUWA ANATAKA KUNYOLEWA MAV***I
NA MFANYAKAZI WAKE. - See more at:
http://vitukovyamtaa.blogspot.com/2013/09/mbongo-anaswa-akitaka-kulawitiwa-na.html#sthash.bmDSJchT.dpuf
0 comments:
Post a Comment