This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, August 29, 2013

TRAFIKI FEKI MAZITO TENA!

MAZITO tena yameibuka kuhusu yule trafiki feki James Hussein, mkazi wa Kimara Matangini, jijini Dar es Salaam ambaye yuko  Gereza la Segerea, Dar akikabiliwa na kesi ya kujifanya askari wa usalama barabarani,...

MTOTO MIAKA 7 ALEA FAMILIA

Na Imelda MtemaWAZAZI ambao hawajajulikana walikotokomea wamewatelekeza watoto wao wanne wanaoishi Kata ya Bangulo, Pugu, Ilala, jijini Dar es Salaam, Amani lina mkasa wote.Mazigira ya nyumba ya watoto hao ni ya kutoa machozi hata kwa mtu mwenye roho ngumu kama jiwe. Nyumba iko hivyo, pa kulala ni chini, wadudu kibao huku wakiwa hawajui hatima yao.Majirani...

Monday, August 12, 2013

Kaze, Tambwe wazuiwa Burundi

  Beki wa Simba Kaze Gilbert. Na Khatimu NahekaNYOTA wapya wawili wa Klabu ya Simba, straika Khamis Tambwe na beki Kaze Gilbert, watachelewa kujiunga na timu hiyo baada ya klabu yao ya Vital’O ya Burundi kuwazuia kwa muda.Nyota hao tangu waliposaini mikataba Msimbazi na kurejea kwao hawajarudi na juzi...

MASTAA BONGO MVUTO WAO SIYO WA KUMULIKA NA TOCHI!

Je, mvuto, urembo na uzuri ni vitu gani? Ni kweli kwamba uzuri au urembo uko katika mboni ya jicho la mtazamaji au kwenye akili na macho ya binadamu? Ukweli ni kwamba kila mtu ana namna yake ya kutafsiri maneno hayo. ...

GARI NA BAJAJ ZAGONGANA KINONDONI

Bajaj ilivyogongwa. Inavyoonekana kwa chini. Dreva wa Bajaj akilia kwa uchungu.… Bajaj ilivyogongwa. Inavyoonekana kwa chini. Dreva wa Bajaj akilia kwa uchungu. Wananchi wenye hasira wakimsulubu dereva Suzuki kwa kupita eneo lisilo lake. Askari akimuokoa dereva  kutoka kwenye kipondo. .Mashuhuda  wamelizingira gari lililosababisha ajali. Dereva wa Bajaj akisaidiwa na Wasamaria Wema kupelekwa hospitali. 8.Mmoja...

MWANAUME AFIA GESTI AKIFANYA MAPENZI NA MPENZI WAKE JIJINI DAR

MFANYABIASHARA wa sokoni Kariakoo jijini Dar ambaye pia ni mkazi wa Kigogo Flesh, Hamad Kiponda (46), amefia nyumba ya kulala wageni akiwa na mpenzi wake Latifa Saidi (25). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alisema tukio hilo lilitokea juzi saa saba mchana katika nyumba hiyo iitwayo Sansiro iliyoko Kiwalani kwa Gude.   Alisema kuwa kutokana na tukio hilo, Latifa alitoa taarifa polisi kwamba mpenzi wake...

SHEIKH PONDA AWEKWA CHINI YA ULINZI MKALI WA POLISI.....JUMUIYA YA KIISLAM YATOA MASHARTI KWA SERIKALI

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda yupo chini ya ulinzi huku akitibiwa majeraha katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.  Sheikh Ponda alisafirishwa usiku wa manane kutoka Morogoro baada ya juzi kupigwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni mtutu wa bomu saa 12:25 jioni alipokuwa akisindikizwa na wafuasi wake kwenda katika Msikiti wa Mungu Mmoja Dini Moja mara baada ya kumaliza kutoa mhadhara...

NEY WA MITEGO

  MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego, ameweka wazi kuwa ikitokea amefariki dunia hatohitaji kamati kwa ajili ya kuendesha mipango ya msiba wake, kwa kile anachodai kuwa kamati hizo zipo kwa ajili ya kuvuna pesa.Hayo aliweka wazi baada kupokea ujumbe mfupi kwenye simu yake wenye vitisho uliotokana na mashairi alioimba kwenye single yake mpya ya 'Salaam zao' .Ujumbe huo wa vitisho ambao umepokelewa na msanii...

AGNESS MASOGANGE AMPONZA AY NA MWANA FA HUKO AFRIKA KUSINI....

Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa.  Tukio hilo limewatokea Mwana F.A akiwa na swahiba wake A.Y baada ya kufika bondeni kwa ajili ya show ambapo  wamepekuliwa  kupita  kiasi Mwana F.A hali ilimshinda ikabidi aanze ku-share na marafiki zake kwenye twitter kuhusu mambo...