Meneja
Uhusiano wa Airtel Bw. Jackson Mmbando akionyesha waandishi wa Habari
(hawapo pichani) jinsi droo ya Airtel Yatosha inavyochagua mshindi wa
kila siku wakati wa droo ya kwanza ya promosheni hiyo ya Yatosha
iliyotoa jumla ya washindi 7 toka mikoa mbalimbali, katikati
anaefuatilia droo hiyo ni Msimamzi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha
Tanzania Bw. Mrisho Milao na Meneja Masoko wa Airtel Bi. Aneth Muga wa
kwanza kulia. Droo ya Airtel Yatosha imetoa jumla ya washindi 7ambapo
kila mmoja amejishindia shilingi milioni moja.
Meneja
Uhusiano wa Airtel Bw. Jackson Mmbando akiongea na moja ya washindi wa
promosheni ya Airtel yatosha mara baada ya kuibuka mshindi katika droo
ya wiki ya kwanza inavyochagua mshindi wa kila siku wakati wa droo ya
kwanza ya promosheni hiyo ya Yatosha iliyotoa jumla ya washindi 7 toka
mikoa mbalimbali, katikati anaefuatilia droo hiyo ni Msimamzi wa bodi
ya michezo ya Kubahatisha Tanzania Bw. Mrisho Milao na Meneja Masoko wa
Airtel Bi. Aneth Muga wa kwanza kulia. Droo ya Airtel Yatosha imetoa
jumla ya washindi 7 ambapo kila mmoja amejishindia shilingi milioni
moja.
Wednesday, July 17, 2013
Home »
» DROO YA KWANZA YA AIRTEL YATOSHA YAFANYIKA
0 comments:
Post a Comment