Home »
» MAKAHABA WANAOJIUZA SINZA WATIWA MBARONI NA MGAMBO WA JIJI
![](//3.bp.blogspot.com/-QDvIGN5zOP4/Ub8mG3TZjGI/AAAAAAAAhuQ/hiYjp5km14Q/s1600/1.jpg)
Mgambo
wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada
wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama Machangudoa
katika eneo la Sinza.
Picha hizi ( juu) zinaonesha namna walivyokuwa
wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
0 comments:
Post a Comment