Home »
» CHEKA NAO YAZIDI KUPOKELEWA VIZURI NA WAKAZI WA MBAGALA
Baadhi
ya watoto wakiwa tayari kushindana katika mbio za Vodacom Cheka Nao
zilizofanyika Dar Live, Mbagala siku ya kifamilia iliyoandaliwa na
Vodacom Tanzania kwa ajili ya Promosheni ya Cheka Nao inayowawezesha
wateja kupiga simu kwa bei nafuu kwenda mitandao yote nchini na
kujishindia shilingi milioni 2 kila mmoja kwa mwezi, ili kujiunga na
kufaidika na ofa piga…

kufaidika na ofa piga *149*01#.
Ofisa
wa Voacom Tanzania Alfani Mdachi (katikati) akimwandikisha Mustafa
Mustafa mkazi wa Mbagala ili kumpatia kadi ya simu tayari kwa matumizi
halali, zoezi hilo lilifanyika wakati wa kampeni ya Cheka Nao
inayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kupiga simu kwa bei nafuu kwenda
mitandao yote nchini na kujishindia shilingi milioni 2 kwa mwezi, ili
kujiunga na kufaidika nayo piga *149*01#. Anaeshuhudia ni Meneja wa
kanda ya Mbagala, Idd Mawe.
Ofisa wa Vodacom Tanzania, Bi. Rehema William
(aliyeketi) akimwelezea jambo mkazi wa Mbagala Dar es Salaam, wakati
Promosheni ya Cheka Nao iliyofanyika Mbagala hapo jana inayowawezesha
wateja wa kampuni hiyo kupiga simu kwa bei nafuu kwa mitandao yote
nchini na kujishindia shilingi milioni 2 kwa mwezi, ili kujiunga na
kufaidika nayo piga *149*01#.
Bi.Tumu Said ambaye ni mkazi wa Mbagala, Dar es
Salaam akimsikiliza Ofisa wa Vodacom Tanzania jinsi anavyomfafanulia
faida za kujiunga na Promosheni ya Cheka Nao inayowawezesha wateja wa
kampuni hiyo kupiga simu kwa bei nafuu kwa mitandao yote nchini na
kujishindia shilingi milioni 2 kwa mwezi, ili kujiunga na kufaidika nayo
piga *149*01#. Wanaoshuhudia kushoto ni Meneja wa kanda ya Mbagala, Idd
Mawe na kulia ni Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo, Bw. Matina Nkurlu.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Bw. Matina
Nkurlu (kulia) akimwelezea Bi.Tumu Said ambaye ni mkazi wa Mbagala, Dar
es Salaam manufaa na faida za kujiunga na Promosheni ya Cheka Nao
inayowawezesha wateja wa kampuni hiyo kupiga simu kwa bei nafuu kwenda
mtandao wowote na kujishindia shilingi milioni 2 kwa mwezi, ili kujiunga
na kufaidika nayo piga *149*01#.
0 comments:
Post a Comment