Meneja
Mahusiano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Jackson
Mmbando akizungumza na wahariri wa habari za Michezo wakati wa hafla
iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam ili kubadilishana
mawazo juu ya namna nzuri ya kuboresha michuano ya vijana chini ya umri
wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars. Mkurugenzi
wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Sunday Kayuni
akizungumza na wahariri wa habari za michezo (Hawapo pichani) wakati wa
hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam ili
kubadilishana mawazo juu ya namna nzuri ya kuboresha michuano ya vijana
chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania,
Beatrice Singano akizungumza na wahariri wa habari za michezo (Hawapo
pichani) wakati wa hafla iliyoandaliwa na Airtel Tanzania jijini Dar es
Salaam ili kubadilishana mawazo juu ya namna nzuri ya kuboresha michuano
ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Raising Stars.
Tuesday, June 11, 2013
Home »
» AIRTEL YAKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI ZA MICHEZO KUJADILI NAMANA YA KUBORESHA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS
0 comments:
Post a Comment