
Majambazi
 yamempora mama mmoja kiasi cha  shilingi milioni kumi na kutokomea kusikojulikana....
Tukio hilo limetokea leo saa 5:16
 jioni  na inavyosemekana  ni  kuwa mwanamke  huyo   alikuwa akitoka benki ya CRDB tawi la Uhuru ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikuwa yakimfuatilia..
Alipotoka ,majambazi  hayo  yalimfuata na kuligonga gari lake makusudi   na ndipo dada huyo aliposimama
  ili angaalie nani kagonga gari yake ambapo jambazi mmoja alishuka na  
kumpiga risasi ya kifuani na kutokomea na kiasi hicho cha pesa. ..






0 comments:
Post a Comment