Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof: Makame Mbarawa
akimkaribisha ofisini kwake jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa
Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza ambapo baadae viongozi hao walifanya
mazungumzo juu ya masuala mbalimbali katika sekta ya mawasiliano ya simu
za mkononi nchini na mipango ya Vodacom ya kushirikiana na serikali
kuboresha zaidi sekta hiyo.…

kuboresha zaidi sekta hiyo. Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof: Makame Mbarawa akisalimiana
na Ofisa Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Vodacom Tanzania Bw.Walarick
Nittu wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania(katikati)akiwa na
ujumbe wake walipomtembelea Waziri Prof:Mbarawa na kuwa na mazungumzo
juu ya masuala mbalimbali katika sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi
nchini na mipango ya Vodacom ya kushirikiana na serikali kuboresha
zaidi sekta hiyo.
Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof: Makame Mbarawa akisalimiana
na Ofisa Mkuu wa Mitandao wa Vodacom Tanzania Bw.Alec Mulugo wakati
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania(kulia)akiwa na ujumbe wake
walipomtembelea Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Prof:
Mbarawa na kuwa na mazungumzo juu ya masuala mbalimbali katika sekta ya
mawasiliano ya simu za mkononi nchini na mipango ya Vodacom ya
kushirikiana na serikali kuboresha zaidi sekta hiyo
0 comments:
Post a Comment