MSANII wa muziki na filamu Bongo, Saimon Mwapagata ‘Rado’ amenusurika kifo kutoka kwa vijana waliofunga njia maeneo ya Mwananyamala, jijini Dar Jumapili iliyopita.
Kwa mujibu wa rafiki wa Rado ambaye pia ni
msanii wa filamu, Deogratius Shija, tukio hilo lilitokea usiku wakati
Rado alipokuwa akirudi nyumbani kwake
“Alikuta njia imefungwa na vijana watatu, alijaribu kuwapigia honi lakini hawakufungua…

“Alikuta njia imefungwa na vijana watatu, alijaribu kuwapigia honi lakini hawakufungua njia.
“Rado alishuka kwenye gari na kuwauliza kwa nini wamefunga njia wakamjibu kwamba mmoja wao ameibiwa simu, hivyo wanamtafuta mwizi wao.

Shija alisema kwamba ghafla vijana wale
walimvamia Rado na kumshushia kipigo cha haja wakiwa na mapanga na
marungu na kumjeruhi hadi akapoteza fahamu.
“Nilipigiwa simu na msamaria na kuambiwa kuwa Rado hajiwezi, sababu kuna watu wanaomjua maeneo yale alipelekwa Oysterbay Polisi kisha kukimbizwa Hospitali ya Mwananyamala ambako alishonwa, kifuani na mguuni,” alisema Shija.

0 comments:
Post a Comment