Mbunge wa Chama Cha Wananchi
(CUF), Jimbo la Chambani, Salim Hemed Khamis afariki dunia. Mbunge huyo
alianguka jana ghafla akiwa katika kikao cha kamati ya mambo ya nje na
ushirikiano wa kimataifa katika ofisi ndogo za bunge jijini Dar es
Salaam wakati kamati hiyo ikiendelea na kikao…
Mbunge wa Chama Cha Wananchi (CUF), Jimbo la Chambani, Salim Hemed Khamis afariki dunia. Mbunge huyo alianguka jana ghafla akiwa katika kikao cha kamati ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika ofisi ndogo za bunge jijini Dar es Salaam wakati kamati hiyo ikiendelea na kikao chake.

0 comments:
Post a Comment