This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Saturday, March 30, 2013

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...

MAHAKAMA YASEMA Uchaguzi Kenya ulikuwa huru na wa haki

Willy Mutunga rais wa mahakama ya juu zaidi Kenya Mahakama ya juu zaidi nchini Kenya, imeamua kuwa rais mteule Uhuru Kenyatta atasalia kuwa rais mpya wa Kenya baada ya kusema kuwa uchaguzi ulifanywa kwa njia huru na ya haki. Uchaguzi wenyewe ulifanyika tarehe nne mwezi Machi, ambapo hesabu ya kura ilimpa ushindi Kenyatta kwa zaidi ya laki nane. Rais wa mahakama hiyo jaji mkuu Willy Mutunga alisema kuwa...

MAUNO YA AUNTY LULU NUSURA YAUE

Na: Gladness Mallya SI mnalikumbuka lile wowowo la Lulu Mathias Semagongo au Aunty Lulu? Si mnakumbuka jinsi  mwenyewe anavyolisifia kwamba analipenda sana na siku akiamka akakuta halipo atakwenda kwa mchungaji aombewe? Sasa safari hii nusura liue. Twende pamoja.… Na: Gladness Mallya SI mnalikumbuka lile wowowo la Lulu Mathias Semagongo...

PINDA ATEMBELEA GHOROFA LILILOPOROMOKA DAR

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwasili leo katika jengo lililoporomoka jana Kamanda Suleiman Kova akimpa maelezo Mh. Pinda na viongozi wengine Mtunzi Maarufu Eric Shigongo (kushoto) akiwasili eneo la… Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwasili leo katika jengo lililoporomoka jana Kamanda Suleiman Kova akimpa maelezo Mh. Pinda na viongozi wengine Mtunzi Maarufu Eric Shigongo (kushoto) akiwasili...

Friday, March 29, 2013

MUUAJI WA PADRE MUSHI - ZANZIBAR AMEKAMATWA LEO

  Father Evalist Mushi enzi za uhai wake Mtu anaesadikiwa kuwa ndie muuaji wa aliyekuwa Padre Evalist Mushi wa kanisa katoliki, visiwani zanzibar, amekamatwa leo alasili maeneo ya kariakoo, zanzibar. Jeshi la polisi limethibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo, na kwenda nae kituo cha polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi. Padri Mushi aliuwawa kwa kupigwa risasi mwezi uliopitwa wakati akiwa kwenye gari lake kuelekea kanisani...

HUYU NDO BINTI ALIYECHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA MPENZI WAKE BAADA YA KUBUSU KIFUA CHA DIAMOND JANA

Dada Huyu Akiwa kwenye show ya Diamond alinyanyuka na kwenda kubusu kifua cha diamond,baada ya hapo alichezeya kichapo toka kwa jamaa yake baada ya kujisikia vibaya na hicho kitendo...  Binti uzalendo ulimshinda, akaenda kumnyonya matiti DiamondBinti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake  Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda, akaenda kunyonya chuchu za diamond...

RAIS KIKWETE AWAONGOZA VIONGOZI KUMUAGA ALIYEKUWA MBUNGE WA CHAMBANI, SALIM HEMED KHAMIS

Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa, na viongozi wengine wakishiriki shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Salim Hemed Khamis, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chambani Visiwani Pemba kupitia CUF, aliyefariki jana mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. … Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri Mkuu...